NENO TIME — Anchored in Truth
Matendo yasiyo na uhai ni yapi?
Leo ninataka tuone baadhi ya mambo yasiyo na uhai katika BIBLIA.
GALATIA 5:19-21,
Yajue matendo kidunia yasiyo faa.
1) Uzinzi, 2)
2) Uasherati,
3) Ufisadi,
4) Kuabudu sanamu. ZABURI 115:3-8, KUMB KUMB TORATI, 4:15-19, ISAYA 44:9-19.
5) Uchawi, ISAYA 47:8-15, KUMB KUMB LA TORATI 18:10-13,
6) Uadui,
7: Ugomvi,
8) Wivu,
9) Hasira
10) Uchoyo
11) Mabishano,
12) Mafaralano YAKOBO 4:1-8,
13) Husuda,
14) Ulevi, HABAKUKI 2:15-17, ISAYA 5:11-12, EFESSO 5:18, ISAYA 28:7 Inasema hawa pia wanapepesuka kwa sababu ya mvinyo, wanayumbayumba kwa sababu Kileo, MITHALI 20:1,
15) Ulafi
16) Uovu
17) Tamaa mbaya
18) uuaji
19) Uzushi
20) Fitina
21) Hadaa
22) Nia mbaya
23) Kusengenya
24) Kusingizia
25) Wenye kumchukia MUNGU
26) Wajeuri
27) Kiburi
28) Wafidhuli
29) Kutakabari
30) Wasiotii wazazi MATHAYO 15:4,
31) Dhamira mbaya
32) Kinyongo
33) Kusingizia
34) Matusi
35) Chuki
36) Matukano
37) Uviraji, WARUMI 1:28-31. 1KORINTHO 6:9-11, EFESSO 5:5-8, UFUNUO 22;15. ZABURI 119:113, UFUNUO 21:27,
38) Kulawiti
Kumtendea mke au mme vibaya.
39) Kutoiheshimu ndoa, WAEBRANIA 13:4,
40) Kupenda fedha,
41: Kupenda dunia 1YOHANA 2:15-17,
WAEBRANIA 13:5, 1TIMOTHEO 6:10, NK.
Haya na mengine mengi ndio mambo yanayomwaribu mwanadamu aliyeko hapa duniani,
Hebu tusome kwa makini na kuyatafakari na kuchukua hatua.
Kaa tayari kupokea Msingi wa pili wa somo la “Kuwa na IMANI kwa MUNGU”
Hakuna maoni yaliyotumwa bado. Kuwa wa kwanza kutoa tafakari yako kuhusu somo hili!